Darasa la Mwalimu wa KiswahiliJibu maswali yafuatayo;
1.Kiswahili ni lugha inayoundwa na lugha zipi?
2.Lugha ni nini?
3.Unafahamu nini juu ya Historia ya Lugha?
4.Taja jina la mwana Kiswahili mmoja unaye mfahamu.
5.Taja mambo matano(5) yanayopatikana katika Lugha